JK AFUNGUA KOZI YA UPASUAJI WA MISHIPA YA FAHAMU,UBONGO NA UTI WA MGONGO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AFUNGUA KOZI YA UPASUAJI WA MISHIPA YA FAHAMU,UBONGO NA UTI WA MGONGO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI


Rais Jakaya kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa kozi ya upasuaji wa mishipa ya fahamu, ubongo na uti wa mgongo kwa nchi za Afrika Mashariki,Kati na Kusini iliyoanza  jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Hadji Mponda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili(MOI),Profesa Lawrence Mseru
Rais Jakaya Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya vitendo kwa madaktari wachanga wa upasuaji wa ubongo na uti wa mgongo wanaotoka katika nchi za Afrika Mashariki,Kati na Kusini. Mkutano huo unafanyika Dar es Salaam.Picha na John Lukuwi na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages