MMOJA KATI YA MAJERUHI WAWILI WALIOFUNIKWA NA KIFUSI KWENYE MGODI WA BUHEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MMOJA KATI YA MAJERUHI WAWILI WALIOFUNIKWA NA KIFUSI KWENYE MGODI WA BUHEMBA


Muuguzi akimsaidia mmoja wa majeruhi wawili waliofunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Buhemba mkoani Mara hivi karibuni na kukwama kwa siku nne huku wakiishi kwa kunywa mkojo kabla hawajaokolewa na wataalamu wa mgodi wa Barick North Mara.Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages