JK AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA COMMONWEALTH COUNCIL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA COMMONWEALTH COUNCIL


 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mkuu wa Commonwealth Council Dr.Mohan Kaul(kushoto)pamoja na Mweyekiti wa Makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi(kulia)mara baaada ya kufanya mazungumzo na Dr.Mohan pamoja na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam jana mchana.Wengine katika picha ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Dr.Mary Nagu(wapili kushoto),Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu(wanne kushoto)na kulia Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Emmanuel Ole Naiko.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages