MH. VICENT NYERERE ATEMBELEA WAGONJWA NA KUTOA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI JIMBONI KWAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MH. VICENT NYERERE ATEMBELEA WAGONJWA NA KUTOA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vicent Nyerere akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa mjini Musoma leo.

Mh. Nyerere akimtakia hali mmoja wa wagonjwa hospitalini hapo
Mh Nyerere akiongea na baadhi ya wagonjwa
Sehemu ya shehena ya vitabu ambavyo mbunge wa
Musoma mjini ametoa kwa shule za sekondari mkoani humo.
Kwa Hisani Ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages