Mazishi yaliongozwa na wakongweMuhidin Maalim Gurumo (kulia) na King Kikii
Jeneza lenye mwili wa marehemu likipelekwa makaburini Magomeni
Umati mkubwa wa wanamuziki, wapenzi wa muziki,ndugu jamaa na marafiki ulihudhuria. Marehemu Ngosha, aliyefariki juzi akiwa na umri wa miaka 45, alikuwa mpiga bezi mashuhuri sio tu wa Sikinde bali hata wanamuziki mahili kama Kanda Bongoman walikuwa wakimtumia kutokana na uwezo wake mkubwa. Picha na John Kitime.
Habari Na Picha Kwa Hisani Ya Michuzi Blog.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)