MAKAMU WA RAISI DK BILALI AKUTANA NA WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WA BURUNDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DK BILALI AKUTANA NA WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WA BURUNDI

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Serikali ya Burundi Mhe. Hafsa Mosi wakati Waziri huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe Maalum wa Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa Rais Piyer Nkurunziza wa Burundi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages