KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI WAKE WA BAHATIKA NA TIGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI WAKE WA BAHATIKA NA TIGO

 
Meneja Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja, Christamaria Shine, baada ya kushinda katika mchezo wa kubahatisha wa Bahatika na Tigo. Anayeshuhudia katikati ni Afisa wa Huduma za Ziada wa Tigo, Pamela Shelukindo.
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo mchana huu imewakabidhi zawadi washindi wa promosheni yake mpya ya Bahatika na Tigo iliyozinduliwa Januari 18 mwaka huu. Makabidhiano hayo yaliyafayika  makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

 
Pamela akiwapongeza washindi.
Sehemu ya wanahabari waliohudhuria hafla hiyo.
PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages