Jamaa huyu alinaswa na kamera yetu 'akimkwida kibindo' mrembo mmoja katikatika ya soko kuu la kata ya Mji Mpya mkoani Morogoro kama wanavyoonekana pichani, haikufahamika mara moja kama wawili hao ni wapenzi au la!
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE,GPL,MOROGORO
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE,GPL,MOROGORO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)