Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akiendesha kikao cha kamati kuu ya chama hicho kilichofanyika jana, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk Amani Abeid Karume (kulia), na Rais wa Zanzibar ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Pia Mjumbe wa NEC, Dk Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo katika ukumbi wa mkutano wa kikao cha Kamati kuu ya chama hicho IKulu, Jijini Dar es Salaam jana.
Picha na Ramadhani Othman -Ikulu Zanzibar
Picha na Ramadhani Othman -Ikulu Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)