Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP,Said Mwema Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini Kwake(Makao Makuu ya Jeshi Hilo)Jijini Dar es Salaam Jioni ya jana Kuhusu jeshi hiloKusitisha Kwa Maandamano yaliyokua yamepangwa kufanyika leo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)mkoani arusha kwa sabababu za kiusalama na habari za kiintelijensia kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha zilizotolewa na IGP Mwema Zimesema kwmaba Mkutano wa Chadema hapo leo Utaendelea Kama Ulivyopangwa Bila Maandamano na kwamba jeshi la Polisi litaimarisha ulinzi wa uhakika kwenye maeneo ya kuzunguka eneo ka mkutano huo kuhakikisha ulinzi na usalama unakuwepo muda wote.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)