Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa
-----------------
Na Richard Mwaikenda
Viongozi wa CHADEMA,waliokamatwa kwenye maandamano jijini Arusha jana, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kufanya maandamano bila kibali. Baadhi ya viongozi hao ni Mwenyekiti, Mbowe,Katibu Mkuu,Dk Slaa,Mbunge wa Arusha Mjini, Goodluck Lema, Mbunge wa Rombo,Joseph Selasini,Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburoo na baadhi ya wafuasi wa chama hicho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)