Meneja wa Benki ya Posta tawi la Bukoba Bw. Maduhu Makoye (kushoto) akimuonyesha Meya wa manispaa ya Bukoba Mstahiki Anatory Amani sehemu ya misaada iliyotolewa na benki hiyo kwa manispaa ya Bukoba ambayo ni matoroli, mifagio na vifaa vingine vya kuzolea takata vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1.7. Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii,Bukoba

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)