KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Maneno Juma jana mchana alipoteza maisha baada ya kutumbukia kweye shimo la choo ambacho alikuwa akikitengeneza sehemu za Ilala-Bungoni jijini Dar es Salaam..
Akiongea na mwandishi wetu, mmoja wa vijana aliyekuwa akishirikiana na marehemu kukijenga choo hicho alisema kuwa marehemu Maneno aliteleza kwa bahati mbaya na kutumbukia katika shimo hilo ambalo lilikuwa limejaa kinyesi na maji machafu.
Juhudi za kuutoa mwili wa marehemu zilifanyika baada ya kufika waokoaji kutoka Halmashauri ya Jiji na gari la Majitaka ili kunyonya maji ambayo yalijaa chooni humo.

Kijana (aliyevaa fulana ya mistari) aliyekuwa akijenga choo hicho na marehemu akienda kuingia kwenye gari la polisi.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)