Spika wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda akilakiwa na Wanachama wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jana Muda mfupi baada ya kurejea nchini akitokea nchini Namibia kuhudhuria mkutano wa Bunge la SADC.Picha na Muhidin Sufiani
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)