JK NJIANI KUELEKEA UBELGIJI KWENYE MKUTANO WA KIUCHUMI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK NJIANI KUELEKEA UBELGIJI KWENYE MKUTANO WA KIUCHUMI

Raisi Jakaya Kikwete Atua Cairo Misri Kwa Muda Kuelekea Ubelgiji;
JK na mwenyeji wake Rais Hosni Mubarak wa Misri katika ikulu ya Cairo wakati nyimbo za mataifa hayo mawili zikipigwa kwa heshima ya marais hao wakati Rais Kikwete aliposimama kwa muda nchini misri akiwa njiani kuelekea jijini Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutano wa maendeleo ya kiuchumi
JK akikagua gwaride la heshima liliandaliwa na vikosi vya ulinzi vya Misri wakati Rais Kikwete aliposimama kwa muda jijini Cairo na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Hosni Mubarak akiwa njiani kuelekea Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutnao wa Maendeleo ya Uchumi
JK akizungumza na mwenyeji wake Rais Hosni Mubarak wa Misri ikulu ya jijini Cairo, wakati Rais Kikwete aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea mjini Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutano wa maendeleo ya Uchumi.
Picha na Habari Kwa Hisani Ya Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages