Jengo la Makazi ya Spika linavyoonekana kwa sasa.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka Maafisa wa Bunge pamoja na wakandarasi kutoka Wakala wa Ujenzi (TBA). Kulia kwake ni Afisa Tawala wa Bunge, Athumani Kwikima
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka kushoto ni mtunza vifaa wa kampuni
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)