Kutokana na watu kuruhusiwa kuingia bure,Uwanja wa Taifa,ulielemewa wakati wa mechi hiyo, ikalazimu polisi maalum wa kikosi cha kutuliza fujo FFU kuwafukuza mashabiki wengine kwa gari la maji ya kuwasha.
Mashabiki wakitimka kuongopa kumwagiwa maji ya kuwasha.Picha zote naMdau Bashir Nkromo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)