KIJANA ATOKA GEITA HADI DAR KWA BAISKELI KUMPONGEZA JK - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIJANA ATOKA GEITA HADI DAR KWA BAISKELI KUMPONGEZA JK


JK akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam kijana Mussa Lunyeka Dotto kutoka kijiji cha Chabulongo kata ya Kasamwa,Geita wakati alipowasili kumpongeza Rais kwa kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Kijana huyo mkulima, aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita kuja Dare s Salaam, alipata wasaa wa kuzungumza na Rais Kikwete ambapo Dr.Kikwete alimpongeza kwa moyo wake wa uzalendo na kuahidi kumpatia msaada wa kuboresha shughuli zake za kilimo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages