JIMBO LA NDESAMBURO LINAVYOONEKANA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JIMBO LA NDESAMBURO LINAVYOONEKANA LEO

Moshi ni kati ya miji inayoaminika kuwa na wageni wengi hasa kipindi cha siku kuu za Mwaka mpya, lakini hali huwa tofauti siku ya Krisimasi. Wageni na wenyeji wengi ambao husababisha mji kuwa na pilikapilika huishia kwenda milimani 'Kuhesabiwa' na kuacha mji kutokuwa na watu kama wapo basi ni mmoja mmoja tu kama taswira hizi za leo zinavyoonesha. Juu ni kwenye mzunguko wa makutano ya barabara za Boma,Double road, na Railway road
Mji mtupuuu..Magari hamna kabisa leo
Noeli day Moshi town
.Barabara Ya Boma RoadPicha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages