
Mwanamuziki Machachari kutoka Nchini Tanzania Diamond(Kulia)akiwa katika picha ya Pamoja na Mwanamuziki Maharufu Fally Ipupa
Mwanamuziki Machachari kutoka Nchini Tanzania Diamond(kushoto)akiwa katika pozi la kukata na shoka na Mwanamuziki Mashuhuri kutoka Nchini Marekani Eve nchini Lagos Nigeria.mwanamuziki Diamond yupo nchini Nigeria kushiriki kwenye Tunzo za Muziki za MTV MAMA.
Mwanamuziki Machachari kutoka Nchini Tanzania Diamond(katikati)akiwa na Wisely na Radio Nchini lagos Nigeria mwanamuziki Diamond yupo nchini Nigeria kushiriki kwenye Tunzo za Muziki za MTV MAMA.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)