Mkurugenzi Msaidizi wa Habari,Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu Cosmas Mwaisobwa akitoa mada kuhusu vigezo na masharti ya mikopo ya elimu ya juu na utekelezaji wa shughuli za Bodi kwa mwaka 2010/11.Mada hiyo ilitolewa jana mjini Mbeya kwa maafisa habari,elumu na mawasiliano kwa lengo la kuwalimisha wakati wa kikazi kazi cha maafisa hao.
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari,Elimu na Mawasiliano kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Cosmas Mwaisobwa (kushoto)akitoa maelezo jana mjini Mbeya kwa Maafisa Habari Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi chao juu ya uamuzi wa Bodi hiyo wa kuanza kukutumia Kampuni za Udalali kama vile Majembe kukusanya madeni kwa wadai sugu ambao wameshindwa kulipa kwa hiari mikopo ya elimu ya juu. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Clement Mshana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)