RAISI WA ZNZ AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI MAALUM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZNZ AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI MAALUM

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein aongoza Kikao cha Kwanza cha kamati Maalum
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(katikati),Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume,(kulia)na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Shamsi Vuai Nahodha,wakiwa katika kikao cha siku moja cha kamati Maalum Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu/Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages