MAKAMU WA 1 WA ZNZ ZIARANI PEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA 1 WA ZNZ ZIARANI PEMBA


Makamu wa Kwanza wa Rais na na mwenyekiti wa Cham cha wananchi -Cuf Maalim Self Sharrif Hamad Akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mtambwe.
Makamu wa Kwanza wa Rais na Mwenyekiti wa chama cha wananchi -CUF Maalim Seif akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya ulinzi na Usalama Muda Mfupi baada ya kuwasili Pemba
Makamu wa Kwanza wa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi -CUF Maalim Seif Sharrif Hamad akipungia umati wa watu muda mfupi baada ya kuwasili Pemba
Ndege ya Makamu wa kwanza wa Rais ikiwasili PEMBa.
-------------
Makamu wa Kwanza wa Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi - CUF Maalim Self Sharrif Hamad jana amewasili kisiwani Pemba na Kulakiwa na Umati Mkubwa wa wananchi wa kisiwa cha Pemba pamoja na wafuasi wa Chama Cha wananchi CUF - Makamo huyo alipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Kassim Tindwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazina Mh.Dadi. Wengine waliohudhuria katika mapokezi hayo ni pamoja na wakuu wote wa wilaya za Pemba Maafisa Wadhamini wa Mawizara pamoja na Wakuu wa Maidara mbali mbali ya Serikili kisiwani humo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages