JOHN CHLIGATI AKABIDHI OFISI KWA PROF TIBAIJUKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JOHN CHLIGATI AKABIDHI OFISI KWA PROF TIBAIJUKA


Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. John Zefania Chiligati (kushoto) akimkabidhi nyaraka mbalimbali za kutendea kazi Waziri mwenye dhamana hiyo Mh. Prof. Anna Tibaijuka. Makabidhiano hayo yalifanyika mara baada ya Mh. Tibaijuka kuingia ofisini jana tangu aapishwe. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara Mh. Patrick Rutabanzibwa.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Anna Tibaijuka, (wa Pili kutoka kulia, waliokaai) akiwa pamoja na Waziri aliyemaliza muda wake Mh. John Chiligati (kulia kwake), wakurugenzi na wakuu wa Vitengo, baada ya makabidhiano ya ofisi. Wengine (waliokaa) ni Naibu Waziri wa Wizara Hiyo Mh. Goodluck Ole Medeye (kulia kwa Mh. Chiligati), Katibu Mkuu Bw. Patrick Rutabanzibwa (wa kwanza kulia) na Naibu Katibu Mkuu Bibi Maria Bilia ( wa kwanza kushoto)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages