mkuu wa mkoa wa Kagera m. Mohamed babu akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya udereva yaliyotolewa na chuo cha Lake Zone kilichopo mkoani Kagera, Mahafali hayo yalifanyika jana kwenye ukumbi wa chama cha msalaba mwekundu. Katika picha hiyo kushoto kwa Mkuu huyo wa mkoa ni Mkurugenzi wa chuo hicho Winston Kabantega na anayefuatia ni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera Marson Mwakyoma.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. Mohamed Babu akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya udereva na umakanika yaliyotolewa na chuo cha Lake Zone kilichoko mkoani Kagera.Katika picha hiyo kushoto kwa mkuu huyo wa mkoa ni mkurugenzi mkuu wa chuo hicho Wiston Kabantega na kulia kwa mkuu huyo wa mkoa ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Samwel Kamote. Picha zote na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)