JK azidi kukata mbuga - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK azidi kukata mbuga


Boda boda wa mjini Songea wakimsindikiza JK kuingia uwanja wa Majimaji leo
JK akiingia kwa mbwembwe uwanja wa Majimaji, Songea, leo
JK akimnadi Dr. Emmanuel Nchimbi, Mgombea ubunge jimbo la Songea Mjini leo
Dk. Emmanuel Nchimbi akimhakikishia JK kura za wana Songea mjini JK akihutubia wana Songea uwanja wa Majimaji leo JK na wana CCM, akiwemo Mzee Mustafa Songambele (mwenye baraghashia) na Mh. Paul Kimiti (mwenye kapelo), wakisakata rhumba baada ya mkutano huo wa kampeni uwanja wa Majimaji Uwanja wa Majimaji mjini Songea ulifurika leo Wana CCM wakimlaki JK uwanja wa Majimaji leo Sehemu ya umati wa wana Songea leo Nyomi uwanja wa Majimaji leo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages