Dkt.Slaa Aiteka Chato - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dkt.Slaa Aiteka Chato

Mgombea urais kupitia chama cha Demokrasi na maendeleo (chadema) Dk.Willibrod Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Chato ,katika mwendelezo wake wa mikutano ya lala salama kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 31 mwaka huu (picha Joseph Senga)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages