CCM WAENDELEA NA KAMPENI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CCM WAENDELEA NA KAMPENI

Hatimaye mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm jimbo la segerea aendelea na kampeni zake jimbo kwake leo katika stand ya mabasi segerea mwisho na hivi ni baadhi ya picha na video
 
hao ni baadhi ya wafuasi wa CCM Inasemekana MGOMBEA HUYU AMEKODISHA WAFUASI WA CCM KUTOKA MAJIMBO MENGINE NA BAADHI YA KATA.
 Hapo juu Wafuasi wakiwa wanaruka Sebene Katika Kampeni
 
Makongoro Mahanga Akiwa ana hutubia
Wakiendelea kuserebuka Wapambe wa CCM
Wacheza viduku hawakua mbali na CCM waliendelea kulisakata 
Hivi ndo Hali inavyoendelea Mida Hii katika Stand ya Mabasi Segerea.
Mgombea Ubunge ahutubia kwa Dakika 3
Hapa baada ya kufunga mkutano wa kampeni wafuasi wakiserebuka 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages