BENKI YA DUNIA YAIPIGA JEKI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BENKI YA DUNIA YAIPIGA JEKI TANZANIA

 Mhe. Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa fedha na Uchumi wa Tanzania (shoto) akibadilishana mikataba aliyosaini na Bw. John Murray McIntire, Mkurugenzi Mkazi wa Nchi ya Tanzania, Uganda na Burundi baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wa shilingi billioni 397.5 jijini Washington DC leoBw. John Murray McIntire akitoa ufafanuzi kuhusu msaada huo Mhe. Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa fedha na Uchumi wa Tanzania, akishukuru kwa kufanikiwa kupata msaada huo Bw. John Murray McIntire wa Benki ya Dunia na ambaye ni Mkurugenzi Mkazi wa Nchi ya Tanzania, Uganda na Burundi akiwa na timu ya wafanyakazi wa Benki ya Dunia mjini Washington D.C wakishuhudia kusainiwa kwa mkataba mkopo wa shilingi billioni 397.5 pamoja na wataalamu wa kiufundi kutoka Wizara ya fedha na uchumi.Kulia kabisa ni Bw. Omari khama akifuatiwa na Bw. John Mavura na baada ya Waziri wa fedha ni Bw. Ngosha magonya na Bw. Patrick Pima. Picha zote na mdau Ingiahedi Mduma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages