TASWIRA ZA WAFANYAKAZI WA STRABAG WAJENZI WA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DAR ES SALAAM (DART ) WAFUNGIWA NJE NA UONGOZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TASWIRA ZA WAFANYAKAZI WA STRABAG WAJENZI WA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DAR ES SALAAM (DART ) WAFUNGIWA NJE NA UONGOZI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi Dar es Salaam (DART), ya Strabag, wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia makao makuu ya kampuni hiyo, Ubungo, Dar es Salaam asubuhi hii baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwafungia nje, kutokana na mgomo wa kudai maslahi zaidi kufanyika jana.

Kwa Picha Zaidi Na Chanzo BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages