MWENGE WA UHURU WAINGIA MKOA WA PWANI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MWENGE WA UHURU WAINGIA MKOA WA PWANI LEO

DSC04148
Mwenge wa Uhuru ukiwa mpakani mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani leo tayari kwa makabidhiano ya Mwenge huo uliomaliza ziara yake mkoani morogoro na Kuanza ziara Mkoa wa Pwani mara baada ya kutembelea wilaya zote za mkoa wa morogoro kwa lengo la kukagua na kufungua miradi na shuguli za Maendeleo Mkoani Morogoro.
DSC04155
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris wakati wa Shamra shamra za Mbio za Mwenge wa Uhuru uliomaliza ziara yake Mkoani Morogoro Leo.
DSC04167
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Morogoro wakiwa katika makabidhiano hayo leo.
DSC04195
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Pwani wakiwa katika Mapokezi hayo leo
DSC04209
DSC04213
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera  akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh Mwamtumu Mahiza leo mara baada ya mwenge huo kumaliza ziara yake mkoa wa morogoro
DSC04214
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwamtumu Mahiza akipokea Mwenge wa Uhuru 
DSC04220
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mh Dk Shukuru Kawambwa  akiwa na Naibu Waziri wa Afya Seif S Rashid wakiwa katika Mapokezi hayo..Picha na MATUKIOA NA MICHAPO BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages