KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

.com/blogger_img_proxy/ Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge  wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013.
.com/blogger_img_proxy/ Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
.com/blogger_img_proxy/
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma AGOSTI 27,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages