Bar ya Samaki Samaki-Mbezi ikiteketea Kwa Moto Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Bar ya Samaki Samaki-Mbezi ikiteketea Kwa Moto Leo

Hii ndiyo Baa ya Samaki Samaki ikiteketea kwa moto leo baada ya kutokea Hitilafu ya Umeme wakati baa hiyo ilipokuwa ikibomolewa leo ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo inayoendelea kujengwa, ambapo eneo hilo linatarajiwa kujengwa 'Service Road', ambapo ilitokea shoti ya umeme na kuteketeza jengo hilo. Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages