Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja, wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu jana. Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wakifurahi katika Viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,katika mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipeana mkono wa shukurani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Dk.Mohamed Gharib Bilal,baada ya futari aliyomualika jana huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Home
Unlabelled
DR. ALI MOHAMED SHEIN ALA FURATI NA WANANCHINI WA MKOA WA KUSINI UNGUJA
DR. ALI MOHAMED SHEIN ALA FURATI NA WANANCHINI WA MKOA WA KUSINI UNGUJA
Share This
About Josephat Lukaza
Subscribe to:Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)