AJIKUTA KWENYE WAKATI MGUMU BAADA YA KUMPIGA ASKARI WA JKT KATIKA MAONYESHO YA SABASABA MAPEMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

AJIKUTA KWENYE WAKATI MGUMU BAADA YA KUMPIGA ASKARI WA JKT KATIKA MAONYESHO YA SABASABA MAPEMA LEO

Kijana ambaye hakufahamika jina lake alijikuta kwenye wakati mgumu sana leo mara baada ya kumrushia makonde askari wa jeshi la kujenga Taifa (JKT) katika maonyesho ya Sabasaba baada ya kutaka kumzuia askari huyo asifanye kazi yake wakati akitaka kumkamata mwizi. Baada ya Raia kujikuta wakitoa kipondo kwa kijana ambaye aliiba simu ndipo askari huyo aalipotokea na kutaka kumkamata lakini jamaa huyo akishikwa na polisi hapo juu katika picha laitokea na kutaka kumzuia askari huyo asifanye kazi yake vizuri ndipo ukaanza ubishani na hapo ndipo ngumi zikaanza. Baada ya Askari huyo kutumia Vyema mafunzo aliyopewa kambini wakati wakujiunga na Jeshi hilo ndipo alipoweza kumtia nguvuni na bila ubishi akaingia kwenye kumi na nane za askari.
Jamaa akiwa mpole huku akipelekwa kituoni tayari kwa maamuzi mengine
Taratibu akipelekwa kituo cha Polisi tayari kwa hatua zaidi kuchukuliwa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages