APOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI BAADA YA KUKAMATWA AKIIBA SIMU KATIKA MAONYESHO YA SABASA HAPO JAN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

APOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI BAADA YA KUKAMATWA AKIIBA SIMU KATIKA MAONYESHO YA SABASA HAPO JAN

Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja (mwenye t-shirt nyeupe) akiwa mikononi mwa vijana wasamalia mwema waliomkamata katika moja ya mabanda ya maonyesho ya sabasaba akikwapua simu katika banda hilo huku akiwa ameharibika usoni baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi na raia wenye asila kali
Kijana ambaye alikamatwa akiiba simu katika moja ya banda lililopo kwenye maonyesho ya Sabasaba Akiwa amepigwa tanganyika jeki huku akiwa kashapokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kukamatwa na raia wenye asila kali katika viwanja hivyo hapo jana
Kibaka akiwa kwenye mikono ya mwana usalama wa JKT akipelekwa katika Kituo Cha Polisi Cha Sabasaba Mara baada ya kupokea Kichapo Kutoka Kwa Raia wenye asila kali katika viwanja vya sabasaba hapo jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages