Mmoja
wa wahitimu wa kike aliyepata mafunzo ya Polisi jamii na ulinzi
shirikishi alipata mafunzo ya ukakamavu kwa ajili ya kukabiliana na
uhalifu na wahalifu, mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es salaam
katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi.( Picha
na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi)
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)