Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuangalia Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi
Unguja,Mohamed Saidi Kidevu,(kulia) jinsi alivyoathirika na Tindikali
alilomwagiwa na Mtu asiyejuilikanwa huko Tomondo juzi wakati alipokuwa
akirudi kuchota maji na kuelekea nyumbani kwake,Sheha huyo yupo katika
Hospitali ya Mnazi mmoja kwa matibabu,wa kushoto Dk.Slim Mohamed
Mgeni, Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya
Magharibi Unguja,Mohamed Saidi Kidevu,(kulia) aliyetiwa Tindikali na Mtu
asiyejuilikanwa huko Tomondo juzi wakati alipokuwa akirudi kuchota
maji na kuelekea nyumbani kwake,Sheha huyo yupo katika Hospitali ya
Mnazi mmoja kwa matibabu,wa pili kulia Kaka yake Sheha Sudu Mgeni
Saidi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)