MWAJUMA JIMAMA AFANYA VITU VYAKE MBELE YA MASHABIKI TCC CHAN'GOMBE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MWAJUMA JIMAMA AFANYA VITU VYAKE MBELE YA MASHABIKI TCC CHAN'GOMBE

Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Mmoja wa mashabiki wa fani ya unenguaji  kulia akimpigia makofi baada ya kumtunza Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' ambaye anaonekana akifanya vibwanga vyake  wakati wa maonesho ya bendi ya Mashauzi Classic katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Isha Ramadhani kushoto akiwa na mnenguaji maarufu Mwajuma Thabiti ' Mwajuma Jimama'
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages