Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu leo
amezindua Kampeni ya ” Because I Am A Girl” inayolenga kujenga mazingira
yasiyokuwa na unyanyasaji wa Kijinsia kwa wasichana wote ndani na nje
ya Shule,uzinduzi huo umeratibiwa na Shirika la Kimataifa la Plan
International Tanzania na kufanyika katika Ukumbi wa Kalimjee.
Pichani juu ni Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na baadhi
ya Wanafunzi na Watendaji wa Plan na Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia
na Watoto mara baada ya Uzinduzi
Mhe. Ummy Mwalimu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akiingia katika Ukumbi wa Kalimjee kwa Uzinduzi wa KampeniMmoja wa Wanafunzi akiuliza swali wakati wa mdahalo kuhusu Uzinduzi wa Kampeni hiyo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)