Matukio katika picha ziara ya Rais Kikwete Oman - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Matukio katika picha ziara ya Rais Kikwete Oman

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakti wa mkutano na Watanzania waishio Oman uliofanyika jijini Muscat  hivi karibuni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Ali Ahmed Saleh
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wanyabiashara wan chi hizo mbili uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wanyabiashara wanchi hizo mbili uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watanzania mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Oman katika mkutano uliofanyika jijini Muscat wiki iliyopita
Baadhi ya Watanzania waishio Oman wakiimsalimia kwa shauku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuongea nao jijini Muscat wakati wa ziara yake iliyomalizika hivi karibuni.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages