Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Balozi wa Cuba nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes
Dias leo Septemba 28, 2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania
aliyemaliza muda wake Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012
Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Balozi wa Cuba nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes
Dias leo Septemba 28, 2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na na Balozi wa Cuba nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012 Ikulu Dar es salaam.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)