Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi Azungumzia Zilizotokea Mjini Morogoro na Kusababisha Kifo Cha Mtu Mmoja - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi Azungumzia Zilizotokea Mjini Morogoro na Kusababisha Kifo Cha Mtu Mmoja

Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu vurugu zilizotokea mjini Morogoro na kusababisha kifo cha mtu mmoja wakati Polisi wakizuia maandamano ya Amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kushoto ni Mkurugenzi wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Paul Chagonja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages