Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Mchungaji Park Ock Soo Muasisi Wa Tasisi ya International Youth Felloship (IYF) ya Jamhuri ya Korea - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Mchungaji Park Ock Soo Muasisi Wa Tasisi ya International Youth Felloship (IYF) ya Jamhuri ya Korea

   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mchungaji Park Ock  Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya  International Youth Felloship  (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto)   kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini  Dkt. Kansolele  Ntevi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Muasisi wa Taasisi ya International  Youth Fellowship (IYF) ya Jamhuri ya Korea, Mchungaji Park Ock Soo baada ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)