Washiriki Mkutano Wa Mazingira Bankok - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Washiriki Mkutano Wa Mazingira Bankok

  pichani baadhi ya washiriki kutoka Tanzania wa mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea nchini Thailand mjini Bangkok
Kutoka kulia ni Bi Magreth Meela Mwanasheria kutoka Ofisi Ya Makamo wa Rais, kushoto ni Bi Fauzia  Mwita Mkurugenzi wa Idara ya Sera, Mipango na Utafiti,ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya wataalam ya mabadiliko ya tabia nchi kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais - Zanzibar katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Mjini Bangkok.Picha na Evelyn Mkokoi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages