TASWIRA ZA VURUGU ZILIZOSABABISHWA NA POLISI NA KUPELEKEA KIFO CHA MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA ALLY NZONA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TASWIRA ZA VURUGU ZILIZOSABABISHWA NA POLISI NA KUPELEKEA KIFO CHA MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA ALLY NZONA

 Polisi wakiwa katika mitaa ya mjini Morogoro wakati wakizuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Mkurugenzi wa Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila akionyesha alama ya V wakati akiwa chini ya ulinzi ndani ya gari la Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU)
 FFU wakiwa katika Doria.
 Mwili wa aliyekuwa muuza magazeti katika eneo la Msamvu Morogoro, Ally Nzona  ambaye alipigwa risasi ya kichwa na kufariki dunia wakati wa vurugu za Polisi na Chadema Morogoro
 Ndugu wa marehemu Ally Nzona akiwa amesimama kando ya mwili wa ndugu yake katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro, ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Morogoro
 Askari wa Kikosi cha kuzuia fujo FFU wakitoa onyo kwa waandamanaji kutawanyika
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sanga ,kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege 
Sehemu ya uamati wa watu Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege, Morogoro.Picha Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages