| Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri |
| Rais wa TPBO Yasin Abdallah kulia akepeana mkono wa idi na Mtangazaji wa Radio Times Kondo walipokutana wakati wa sikukuu ya idi |
| UBINGWA WA IBF AFRICA HADHARANI KESHO |
| Ramadhani Shauri
wa Tanzania kushoto na Sande Kizito wa Uganda wakitunishiana misuri leo
wakati wa upimaji wa uziti picha na www.superdboxingcoach. |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)