Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati
alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa
ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini
Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na waumini katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es
salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
miongoni wa waumini kusikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar
Zubeir katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya
ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Mama Salma Kikwete akipeana mkono
wa Iddi na kinamama waliohudhuria Swala ya Iddi leo Agosti 19, 2012
katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)