Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia
utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na
wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St
Gaspar mjini Dodoma
Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa
mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji
wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi
za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na
wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa
kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu
wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi
wa St Gaspar mjini Dodoma.
Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya
maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali
leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa
kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu
wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi
wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)