MAMA KARUME ASHUHUDIA VIONGOZI WAPYA WA YANGA WAKIAPISHWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAMA KARUME ASHUHUDIA VIONGOZI WAPYA WA YANGA WAKIAPISHWA

 Mama Fatume Karume, akizungumza kwa msisitizo kuhusu mshikamano ndani ya Klabu ya Yanga, wakati alipoohudhuria hafla ya kuapishwa kwa viongozi wapya wa Klabu hiyo, iliyofanyika katika Jengo la Jangwani jana mchana. ''Tunatakiwa kushikamana na kuwa wamoja''. 
 Mwenyekiti mpya wa Yanga, Yusuph Manji (kulia) akiongozwa na mzee Jabir Katundu, wakati akila kiapo rasmi cha kuiongoza Klabu hiyo jana. 
 Mzee Jabir Katundu, akimuongoza Mussa Katabalo kula kiapo cha uaminifu cha kuitumikia Yanga.
 Mama Karume, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi hao baada ya kuapishwa rasmi jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages